SIFA
- MWENYE STASHAHADA YA UHASIBU (BACHELOR DEGREE IN ACCOUNTING) AU DIPLOMA YA JUU YA UHASIBU (ADVANCE DIPLOMA IN ACCOUNTING)
- UMRI USIZIDI MIAKA 45
- MWENYE UWEZO WA KUZUNGUMZA KWA UFASAHA LUGHA YA KIINGEREZA NA KISWAHILI.
- MWENYE KUFAHAMU VIZURI MATUMIZI YA KOMPYUTA
- MWENYE UZOEFU USIOPUNGUA MIAKA 2
KAZI
- KUONGOZA IDARA YA UHASIBU
- KUSIMAMIA NA KURATIBU SHUGHULI ZOTE ZA IDARA
- KUANDAA TAARIFA MBALIMBALI ZA FEDHA NA UKAGUZI WA MAHESABU KWA AJILI YA VIKAO VYA CHAMA
- KUANDAA BAJETI
BARUA ZA MAOMBI ZIKIAMBATANA NA WASIFU (CV) ZIANDIKWA KWA
KATIBU MKUU,
TRAWU-MAKAO MAKUU,
S.L.P 78453,
DAR ES SALAAM.
EMAIL:TRAWU.HQ@YAHOO.COM
MAOMBI YA TUMWE KABLA YA TAREHE 05/02/2013
SOURCE:UHURU IJUMAA JANUARI 18,2013 PAGE 17
0 comments:
Post a Comment